Serikali haitagawa chakula : Mh. Samia

Makamu wa Rais. Mh. Samia Suluhu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema kamwe Serikali haitagawa chakula kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na kusubiri chakula kutoka Serikalini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS