ACT watoa maamuzi kwa Mghwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira Chama cha ACT Wazalendo kimesitisha rasmi uenyekiti wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho tangu kuanzishwa kwake, Anna Mghwira, baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kuazia tare ya leo Juni 7. Read more about ACT watoa maamuzi kwa Mghwira