Billnass ajivua bifu ya Godzilla Msanii Billnass 'Hit maker' wa ‘Mazoea’, Billnass amefunguka kwa kusema hajafurahishwa kuhusishwa kwenye ugomvi unaoendelea baina ya msanii Godzilla na Wakazi kwa kudai kitendo hicho kinaweza kumsababishia mashabiki kutomuelewa. Read more about Billnass ajivua bifu ya Godzilla