Hakuna sheria ya viboko Tanzania - Musilimu

Kaimu Kamanda Mkuu wa kikosi Cha Trafiki Tanzania, SACP Fortunatus Musilimu

Kaimu Kamanda Mkuu wa kikosi Cha Trafiki Tanzania, SACP Fortunatus Musilimu amekanusha kauli ya Naibu waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni kuhusu adhabu ya viboko kwa madereva na kusema alimaanisha adhabu kali sana itolewe kwa madereva wazembe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS