VIDEO: Madee ajigamba kubadili muziki Msanii kutoka 'Tip Top Connection' Madee Ali amefunguka kwa kudai amefanya mageuzi katika nyimbo ngumu za Hip hop na matokeo yake sasa hivi watu wamemchukulia kama kioo kwa kufanya kazi zao vizuri. Read more about VIDEO: Madee ajigamba kubadili muziki