KERO Mkazi wa eneo la Kwa Azizi Ali (Temeke) akionyesha mtaro mkubwa unaohatarisha nyumba zao ambao umepanuliwa ili ujengwe kwa ajili ya kupitisha maji ya mvua. Hata hivyo ujenzi huo unakwenda taratibu na kuwapa shaka wakazi hao. Read more about KERO