Mwanamke amtupa mtoto ziwani DCP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Mwanamke mmoja mkazi wa Kisiwa cha Nyamango anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miezi saba baada ya kumtupa ziwa Victoria. Read more about Mwanamke amtupa mtoto ziwani