VIDEO : Young Dee amkana Mama mtoto

Msanii Young Dee

Msanii Young Dee a.k.a Pakarasta amemkana mzazi mwenzake Mamisa na kusema hakuwahi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi japo kuwa wamepata mtoto kama baraka tu kwake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS