"Msiwaongezee watalii stress"- Dkt Abbas Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas, amewataka waongoza utalii nchini kufanya kazi kitaalamu na kwa ukarimu wa hali ya juu badala ya kuwapiga vibomu watalii. Read more about "Msiwaongezee watalii stress"- Dkt Abbas