Nyumba 50 zajaa maji Magomeni

Zaidi ya nyumba 50 zimeingia maji katika eneo la Bondeni lililopo Magomeni Makanya kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es salaam na kusababisha hofu ya kupata magonjwa ya milipuko miongoni mwa wananchi wanaoishi katika eneo hilo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS