Hatimaye Syria kurejeshwa EAU Umoja wa nchi za kiarabu umeikaribisha Syria katika umoja huo, na kuhitimisha kusimamishwa kwake kwa zaidi ya muongo mmoja na kuhakikisha pia Rais Bashar al-Assad anarejea katika kundi lao. Read more about Hatimaye Syria kurejeshwa EAU