Yanga mjiandae kuchoma nyingine - Manara
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara (aliyefungiwa), amefungukia kitendo cha mashabiki wa Yanga kuchoma jezi ya mchezaji wao kwa kusema hawana ustaarabu hata kidogo huku akiwapiga kijembe kwamba wajiandae kuchoma nyingine.

