Msuva amlilia Niyonzima Simon Msuva na Haruna Niyonzima Mshambuliaji wa Yanga SC Simon Msuva amesema japo kiungo Haruna Niyonzima ameacha pengo ndani ya timu, wachezaji waliobaki wataendelea kuipigana kwa juhudi ili kuziba huku mashabiki wakiamini hakuna pengo linaloonekana. Read more about Msuva amlilia Niyonzima