AT atoa siri kuhusu Kiba Muimbaji wa muziki wa mduara anayewakilisha pande za Zanzibar, Ally Tall 'AT' amefunguka na kusema katika maisha yake hawezi kumsahau mwanamuziki Ali Kiba kwani pasipo kukutana naye leo hii angekuwa ni mvua samaki kwao. Read more about AT atoa siri kuhusu Kiba