Liwake jua inyeshe mvua, tutashinda - Mwambusi
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Juma Mwambusi amewatoa wasiwasi mashabiki zao kwa kuwa hakikishia kupata ushindi wa pointi 3 katika mechi yao ya kesho (Jumapili) dhidi ya Mbao FC inatakayochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.