Mafanikio yalinitoa kwa Mona Ganstar- Motra
Msanii mchanga anayekuja kwa kasi kupitia hit yake ya 'Sina Koloni' aliyomshirikisha G Nako, Motra the Future amefunguka na kuweka wazi kwenye story tatu ya Planet Bongo kuhitaji mafanikio ya haraka ndiyo chanzo cha kuondoka kwa Mona Gangsta.