Rais Magufuli kupokea taarifa vyeti feki leo
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo anatarajia kupokea ripoti ya taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti feki kwa watumishi wa Umma ambayo itawasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.