Warriors yaendeleza ubabe NBA
Golden State Warriors wamefanikiwa kushinda mchezo wa kwanza wa fainali ya NBA msimu huu baada ya kuwafunga Cleverland Cavaries kwa vikapu 113-91 alfajiri ya kuamkia leo katika uwanja wa Oracle Arena, Oakland nchini Marekani.

