Pancho Latino atuhumu wasanii kumkwamisha Pancho Latino Mtayarishaji wa muziki nchini Pancho Latino amedai sababu kubwa ya kusimama kuzalisha muziki ni kutokana na roho mbaya za wasanii ambao hawapo tayari kulipa bei stahiki ya huduma ya kuwatayarishia kazi zao. Read more about Pancho Latino atuhumu wasanii kumkwamisha