Upendo Nkone: Hata mimi na mume wangu tunagombana

Askofu John Mbeyela na mke wake, Upendo Nkone.

Watu wengi huwa wanapata picha kuwa watu wa dini, wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili kuwa huenda wao maisha yao ya ndoa huwa yanakuwa na amani na furaha tupu lakini mwimbaji Upendo Nkone anasema hilo jambo si kweli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS