TCRA yashusha rungu kwa makampuni 9 ya simu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini zaidi ya milioni 65 kampuni tisa za simu nchini kwa kosa la kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo vya ubora wa huduma kinyume na matakwa ya kanuni ya 9,10 na 11 ya kanuni za ubora wa huduma za 2011