Huu ndiyo ushauri wa Harmorapa kwa JPM Msanii Harmorapa ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Kiboko ya mabishoo' amefunguka na kutoa ushauri kwa Rais Magufuli juu ya mambo ambayo angependa kuona Rais anayafanyia kazi. Read more about Huu ndiyo ushauri wa Harmorapa kwa JPM