Coyo afunguka kuhusu kuiba ngoma ya Jahman

Mwanamuziki Chipukizi kutoka lebo ya 'Tetemesha Entertainment'  anayetamba na  ngoma ya 'ziwafikie' Coyo amefungukia skendo ya kuiba mashairi ya Big Jahman na kudai hata wimbo wenye hayo mashairi hajawahi kuhusikia kabla ya ngoma yake kutoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS