Harmorapa alitosa Jeshi Harmorapa Kushoto, Kulia ni baba yake (Bw. Omary) Baba mazi wa msanii Athuman Omary 'Harmorapa amefunguka na kudai kwamba mwanae huyo aligoma kujiunga na jeshi alipomaliza kidato cha nne kwa madai ya kutaka kufanya muziki licha ya kuwa tayari alikwisha tafutiwa nafasi. Read more about Harmorapa alitosa Jeshi