Roma na wenzake wasimulia walivyotekwa

Roma Mkatoliki katika mkutano na wanahabari leo

Msanii Roma Mkatoliki amesimulia kilichomkuta siku ya Jumatano wiki iliyopita huku akieleza kusikitishwa na maneno yanaayoenezwa kuwa yeye na wenzake wamepewa pesa na viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kutengeneza 'kiki' kwa maslahi yao binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS