Alikiba uso kwa uso na Davido
Mfalme wa bongo fleva Alikiba mwaka huu ameamua kuzunguka duniani kukutana na mashabiki wake na kutanua wigo wa muziki, mwezi Julai anatarajia kuanza ziara yake katika bara la Ulaya ambapo 'show' ya kwanza ataipiga na mkali kutoka Nigeria Davido.

