Askofu akemea wanaoshangilia mauaji ya askari
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi Isaac Amani Masawe amesema hali ya ulinzi na usalama kwa watanzania kwa sasa siyo nzuri huku akionesha kukerwa na wanaoshamngilia vifo vya askari 8 waliouawa na majambazi, wilayani Kibiti mkoani Pwani