VIDEO: Akigombea Lowassa nitajitoa - Wolper
Msanii wa filamu nchini, Jacqueline Wolper amefunguka na kusema endapo mwaka (2020) Mh. Edward Lowassa atagombea Urais basi yeye atajitoa moja kwa moja kumsapoti katika kampeni zake kwani yeye ni shabiki mkubwa sana wa Waziri huyo Mstaafu.

