Wakazi awakingia kifua ma-MC wanaopondwa
Msanii wa Hip Hop Wakazi anayetamba na ngoma tofauti kama 'Sitaki shari pamoja na Sijutii' aliyomshirikisha Rubby amewataka wasanii wenzake kuheshimiana kimuziki na kwamba kila mmoja anautashi wake aliojaaliwa kwenye fani hiyo.