Azam FC walipokuwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi
Hatimaye Azam FC imeungana na Simba SC, na Mbao FC katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kuichapa Ndanda FC mabao 3-1 katika mchezo wa robo fainali uliomalizika dakika chache zilizopita.