TRA yakusanya trilioni 10 kwa miezi 9
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imekusanya mapato ya jumla ya shilingi za Tanzania trilioni 10.87 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha ambao unaoishia Juni mwaka huu, huku kukiwa na dalili za kufikia lengo la makusanyo iliyojiwekea.