Dkt. Semakafu na mikakati yake wizarani
Mwanaharakati wa masuala ya jinsia nchini Tanzania Dkt. Avemaria Semakafu amemshukuru Rais Magufuli kwa kumteua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu huku akiahidi ushirikiano na watendaji wengine wa wizara katika kusukuma ajenda ya elimu nchini.