Kagera Sugar yatoa tena mchezaji bora Wachezaji wa Kagera Sugar Mchezaji wa timu ya Kagera Sugar FC, Mbaraka Yusuph Abeid amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wa mwezi Machi kwa msimu wa 2016/2017. Read more about Kagera Sugar yatoa tena mchezaji bora