Albam yangu itakuwa na nyimbo 100 - Tabla
Msanii wa siku nyingi wa bongo fleva Tabla, aliyerudi kwenye game na ngoma ya 'Nasema na wewe' akimshirikisha Peter Msechu, ameamua kuja na mtindo mpya wa kutoa albam kwa kuijaza nyimbo 100, huku matayarisho yake yakifanyika kwa takriban miaka minne