Mnyama katika vita ya kurejea kileleni
Baada ya Yanga kukalia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara hapo jana, leo Mnyama Simba SC anashuka katika dimba la Kaitaba mkoani Kagera kupigania kurejea katika nafasi hiyo ambayo imeikalia kwa muda mrefu katika msimu huu wa ligi.