Maua Sama afunguka muziki unavyomlipa
Wakati baadhi ya wasanii wakidai kuwa kazi ya muziki hailipi katika kipindi hiki, msanii Maua Sama mwenye 'hit song' ya 'Main Chick' amedai hakuna kitu kinachomuingizia mkwanja mwingi kwa sasa kama muziki mpaka kufikia hatua ya kuagiza gari mpya.