Hakuna wa kunibadilisha - Nay wa Mitego
Hatimaye msanii Nay wa Mitego mwenye 'hit song ya wapo' amefunguka baada ya kumaliza mkutano na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe Dodoma na kusema hakuna atakayeweza mbadilisha mtazamo wake katika kile anachoamini