Derby ya jiji la Manchester kuhamia Marekani Derby ya mahasimu wa Miji la Manchester, Manchester City na Manchester United, itahamia nchini Marekani, kwa mchezo wa kirafiki kupigwa Julai 20 mwaka huu. Read more about Derby ya jiji la Manchester kuhamia Marekani