Rais Samia ahimiza maadili vyombo vya habari
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kuhakikisha vyombo vya habari na utangazaji unakua na teknolojia za juu za habari zinazozingatia mila na desturi.