Yanga yapelekwa kwa waarabu Kombe la Shirikisho

Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC imepangwa kukutana na timu ya MC Alger ya Algeria katika hatua ya pili ya 16 bora ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, kusaka nafasi ya kuingia hatua ya makundi ya michuano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS