Shambulizi la kumuua Putin lakwama
Picha ya vidio inayoonyesha droni ikilipuka juu ya Kremlin katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Ukraine dhidi ya Rais wa Urusi imesambazwa Jumatano na mitandao kadhaa ya habari. Huku Ukraine ikikanusha shutuma hizo