Wadau wa habari waanza kukutana na wabunge Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wameshauriwa kujipanga kwa hoja na mifano pale watakapokutana na wabunge kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kuhusu mabadiliko ya sheria ya habari wanayoyataka. Read more about Wadau wa habari waanza kukutana na wabunge