Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaotimiza miaka 59 leo umekuwa na mafanikio lukuki ikiwemo kuimarika kwa uchumi.