Kocha wa Azam akiongoza vijana wake katika mazoezi nchini Afrika Kusini
Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amejinasibu kupata ushindi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows kwa kuwa anakiamini kikosi chake