Nimeanza kuandika mistari nikiwa na miaka 9 - One
Msanii anayefanya muziki wa hip hop One the Incredible amesema alianza kuandika mistari akiwa na umri wa miaka tisa kwa kutumia lugha ya kiingereza na hiyo ndiyo sababu huwa hapati shida katika kutumia lugha hiyo wakati wa kuimba.