Manara ang'aka kuhusu hali ya Mwanjali
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesisitiza kuwa beki wa klabu hiyo Method Mwanjali hatakuwemo kwenye kikosi kitakachoshuka dimbani siku ya Jumapili kupambana na Madini FC ya Arusha, kutokana na kuwa majeruhi.