Madaktari 12 wafutwa kazi nchini Kenya Hospitali ya Taifa ya Kenyatta nchini Kenya Hospitali Kuu ya Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya imetangaza kuwafukuza kazi madaktari 12 na kuwapa wengine 48 adhabu kali kwa kuendelea na mgomo. Read more about Madaktari 12 wafutwa kazi nchini Kenya