Guardiola, Harry Kane wapata tuzo EPL

Kocha wa man City, Pep Guardiola

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi wa Februari baada ya kuiongoza timu hiyo kwa ushindi wa mechi tatu mfululizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS