Yaliyofanywa na serikali kuinua uchumi wa mwanamke
Leo Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kote kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameeleza jinsi serikali ilivyoweza kufanya makubwa kwa ajili ya wanawake.