Alikiba na Diamond mjipange - Abdukiba
Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba amefunguka na kutoa ushauri kwa wasanii Alikiba na Diamond Platnumz kuwa wanapaswa kujipanga kimuziki na katika kazi zao kwani kuna vijana wengi wanajipanga kuchukua nafasi zao.